Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Hv pm maana yake nnHellow
Ni matumaini yangu wote mpo wazima.......ningependa kupata kazi katika post zifuatazo
Customer Care
Office Administrator
Credit officer: hapa sina experience ila najua nikipata training nitakuwa vizuri
Marketing officer
NOTE:
Kama kuna mtu atakuwa anauhitaji na mimi anaweza kunicheck pm kwa maelezo zaidi pamoja na elimu yangu
Ni matumaini yangu nitaweza kupata msaada!!! Thanks
Private massage
Zaidi ya degree na zaidi tena
Kwani hapa upo jukwaa gani labda nikuulizemkuu samahani kuku uliza hivi kazi siku hizi zinatafutwa Jf
Nyodo zipi hapo?Unatafuta kazi kwa nyodo hivyo kisa una msingi kiuno nini?
Nikiweka hapa elimu yangu wengi watanijua that's why nikaprefer pmKila la heri ila ungeweka elimu yako hapa ili wajue vizuri... Form 4, 6 , degree, masters au phd
Thanks...yes nimeficha kwasababu nikitaja hapa wengi watanijuasafari njema mkuu japo detail nyingi umeficha.
Unawapa wigo mpana wasumbufu kutimba huko pm.
usijikute we prof mkuu... una elimu gani ambayo iko unique tofouti na watanzania wengine ambayo itakufanya utambulike kiasi.... what is so special about your academic carrier??Nikiweka hapa elimu yangu wengi watanijua that's why nikaprefer pm
Nothing special and sio profπusijikute we prof mkuu... una elimu gani ambayo iko unique tofouti na watanzania wengine ambayo itakufanya utambulike kiasi.... what is so special about your academic carrier??
Mmh kwenye ishu kama hizi usijifiche, kutaja tu kiwango elimu haitakuathiri mbona...Nikiweka hapa elimu yangu wengi watanijua that's why nikaprefer pm
then kama huna utofouti na watz wenzako then weka cv yako mezani upate kazi mkuu...Nothing special and sio profπ
Okay Jose nimekuelewa and thanks kwa ushauriMmh kwenye ishu kama hizi usijifiche, kutaja tu kiwango elimu haitakuathiri mbona...