Natafuta kazi

Natafuta kazi

Habari wana jf mimi ni muhitimu wa shahada ya uzamili katika usimamizi wa miradi(Project Management), vilevile nina shahada ya sanaa katika elimu.

Natafuta nafasi ya kazi, hasa ya kujitolea katika NGOs zinazojishughulisha na miradi ya elimu ili kupata uzoefu katika hii kada msaada wenu wanaJf.

Ahsante!


Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda pm nimekurushia [HASHTAG]#zangu[/HASHTAG] tuwasiliane tunaweza shauriana kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom