Natafuta kazi

enka mbe

Senior Member
Sep 3, 2016
165
113
Mimi kijana wa kiume miaka 18, natafuta kazi kidato cha nne. Ninahutaji kazi yoyote ambayo itakua salama kiafya,
Pia kuna dada angu pia anaumri wa miaka miaka 27 anatafuta kazi. Kazi yyte ya kike yuko tayari kuifanya.
Tafadhari kaka na dada naomba msaada wenu...
mawasiliano 0656092408
Natanguliza shukrani za dhati
 
Ni kweli unashida lakini pia lazima uthibitishe nini unaweza kufanya, mtu hapewi kazi kwa kuonewa huruma, ila kwa kile anachoweza..

Pamoja na elimu uliyonayo, pia ni vizuri ukasema nini unaweza au kipaji gani ulichonacho..
 
wew una kipaji gani maana naona ushampoteza muhitaji kipaji kitu ngumu sana mazee
 
Mimi kijana wa kiume miaka 18, natafuta kazi kidato cha nne. Ninahutaji kazi yoyote ambayo itakua salama kiafya,
Pia kuna dada angu pia anaumri wa miaka miaka 27 anatafuta kazi. Kazi yyte ya kike yuko tayari kuifanya.
Tafadhari kaka na dada naomba msaada wenu...
mawasiliano 0656092408
Natanguliza shukrani za dhati
Km upo dar nichek 0622001223
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom