Natafuta kazi ya usimamizi wa duka la jumla

Maganga Gk

New Member
Mar 6, 2017
4
2
Nipo morogoro wakuu nawezaje kupata kazi ya usimamizi wa uuzaji wa maduka ya jumla.

Elimu yangu ni form six wakuu nipo tayari kupiga kazi kwa moyo namba yangu 0715926152. Ushauri kwenu, dharau matusi siruhusu tafadhari naomba kuwasirisha
 
Back
Top Bottom