Natafuta Kazi

gilbsonassan

Member
Jul 2, 2015
56
9
Habari wakuu mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne nimesoma certificate ya community health worker katika chuo cha St Augustine Muheza Tanga .

Nashida ya kazi wakuu Mshahara ni maelewano mimi na anayenipa kazi ..asante namba yangu ni 0743783408/0624067585 mi nipo dar
 
Back
Top Bottom