Adelina Deus New Member Feb 7, 2017 2 3 Feb 7, 2017 #1 Mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta kazi ya kuuza duka lolote napatikana mbagala namba yangu ni 0656444452 naombeni msaada jaman.
Mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta kazi ya kuuza duka lolote napatikana mbagala namba yangu ni 0656444452 naombeni msaada jaman.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 Feb 9, 2017 #2 wewe si kuna uzi nimeuona umecomment umesema unahitaji mdada wa kazi??
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 Feb 9, 2017 #3 au wewe ndio unataka hiyo post?
M Mtaule mgunda Senior Member Jan 25, 2014 193 61 Feb 9, 2017 #4 ww ndio black beauty wa kwenye hyo picha au