Natafuta kazi

Natafuta kazi

Sir Daud

New Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Ndugu zangu natafuta kazi.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 niliyemaliza degree ya kwanza ya UCHUMI.
Aidha nimepata mafunzo mbali mbali ya muda mfupi ambayo yameniongezea ujuzi na ufahamu wa kutosha katika nyanja mbalimbali.

Naomba ushirikiano wenu. Ahsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom