mandingo 94 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 269 Reaction score 195 Dec 4, 2020 #1 Habar za majukumu wadau kama nilivyo eleza apo juu mim ni mkazi wa dar kitunda natafuta za viwandani hata kibarua mim na fanya msaada wenu 0716527686
Habar za majukumu wadau kama nilivyo eleza apo juu mim ni mkazi wa dar kitunda natafuta za viwandani hata kibarua mim na fanya msaada wenu 0716527686
Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,474 Reaction score 13,637 Dec 4, 2020 #2 Amen Mungu akupe hitaji la moyo wako NB: Nimependa Sir Name yako
W wizy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2016 Posts 4,193 Reaction score 10,454 Dec 4, 2020 #3 Na mimi pia wakuu naombeni kazi za viwandani nimekwama Mawasiliano yangu 0710429664