Natafuta kazi za Research

Natafuta kazi za Research

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Habari wanajamii.

Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, Shahada ya kwanza ya Uchumi.

Nimekuwa nafanya kazi za research na taasisi kadhaa hapa nchini, kwasasa hizo kazi zimeisha na nimebaki idle.

Nipo competent kwenye matumizi ya statistical packages kama STATA, SPSS, na Microsoft EXCELL.

Nipo competent kwenye Data Collection, Data Codding, Data Entry, Data Cleaning na Data Analysis. Hata kuandaa Questionnaire naweza pia.

Kama una kazi yako au kuna taasisi yoyote ambayo mnaweza kunipokea nitashukuru sana.

Napatikana Dar es Salaam.

Email: pettyram@live.com
 
Hello ukipata plz let me know cz hata mm nazitafuta sana kazi za research en am compentent on this, kama ukipata cal m via 0754357533
 
Hello ukipata plz let me know cz hata mm nazitafuta sana kazi za research en am compentent on this, kama ukipata cal m via 0754357533

Hiyo namba ya simu Ungemtumia kwa private message....
 
Nyie mnaohitaji kazi za research mko Mkoa gani?
 
Hebu jaribu kwenda RAHA TOWER, ghorofa ya pili chumba #12 , kuna kampuni inaitwa AC NIELSEN wanashughulika na research na mpk sasa hivi watu wapo location
 
Sor hiyo RAHA tower ipo sehemu gani hapa dar, ahsante kwa kunipa wazo , nitatembelea soon
 
Sor hiyo RAHA tower ipo sehemu gani hapa dar, ahsante kwa kunipa wazo , nitatembelea soon

Raha Apartments Ltd.
Raha Towers,
34/35 Maktaba Street, Kisutu.
kwenye mataa yale yakuelekea posta mpya karibu na maktaba kuu kuna ghorofa limendikwa raha tower ndio hapo
 
Mkuu, nenda pale TNS karibu na ofisi za clouds nao pia wanadeal na research issues ambapo wanalipa Tshs.2500/= per questionnaire ukijaza, vile vile kuna wale Synovate ambao wako karibu na shoppers plaza nao wanapiga hizo issue. kila la kheri mkuu!
 
una uhakika gani kwamba uko "competent" ili hali hadi sasa upo idle?
 
Time will tell kuwa idle sio kwamba u are nt competent, the issue is opportunities, cz u may have much of skills bt the place to apply ur skills become unopen
 
una uhakika gani kwamba uko "competent" ili hali hadi sasa upo idle?

naprefer kufanya kazi na research firms hasa kwa permanent contract, nimejaribu zote nimekosa, so i have to hustle kuendelea kutafuta hata hizo za part time
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom