Natafuta kazi za ndani

Natafuta kazi za ndani

mama lubango

Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
56
Reaction score
8
Kutokana hali ngumu ya maisha inayotaka kunikabili nimeamua kuwa house girl ili nipate mahitaji yangu ya kila siku.
Naweza kufanya popote hata kwa wazungu coz I can speak english fluently.
Please mwenye shida na house girl anipm na hatajutia uamuzi wake
 
Toa specification zako kabla watu hawajakuzukia pm ujue utakuwa unaachiwa nyumba ya watu wakati wenyewe wako kazini, elezea unaoshi wapi, utakuwa wa kwenda na kurudi au kulala, mshahara ulipwe sh ngapi, referree wako ni nani, ushawahi kufanya kazi za ndani au ndo inajaribu,umri wako, umeolewa au umeachika, una watoto, unawatu wanaokutegemea mwaga cv yako mama utapata pm nyingi tuu. All the best.
 
Toa specification zako
kabla watu hawajakuzukia pm ujue utakuwa unaachiwa nyumba ya watu wakati
wenyewe wako kazini, elezea unaoshi wapi, utakuwa wa kwenda na kurudi
au kulala, mshahara ulipwe sh ngapi, referree wako ni nani, ushawahi
kufanya kazi za ndani au ndo inajaribu,umri wako, umeolewa au umeachika,
una watoto, unawatu wanaokutegemea mwaga cv yako mama utapata pm nyingi
tuu. All the best.

Nipo dar lakini pia mwanza naweza kufanya kazi. Nipo tayari kulala au la. nina miaka 24 sina anaenitegemea sijaolewa wala sina mtoto. Naweza kufanya kazi zote za ndani pia ni mtalaam wa mapishi. Mshara maelewano
 
Weka namba ya simu kuna kazi ya kwenda na kurudi
 
Nipo dar lakini pia mwanza naweza kufanya kazi. Nipo tayari kulala au la. nina miaka 24 sina anaenitegemea sijaolewa wala sina mtoto. Naweza kufanya kazi zote za ndani pia ni mtalaam wa mapishi. Mshara maelewano
Nitakupa kiwango cha chini kilichopitishwa na serikali (40,000)
Kazi si nyingi sana watoto wapo shule,
Utalala, kula na kutibiwa kwa gharama zangu. Upo tayari?
 
Kutokana hali ngumu ya maisha inayotaka kunikabili nimeamua kuwa house girl ili nipate mahitaji yangu ya kila siku.
Naweza kufanya popote hata kwa wazungu coz I can speak english fluently.
Please mwenye shida na house girl anipm na hatajutia uamuzi wake

shida ya hausigeli ninayo sema naona unajua kingeredha kuliko mimi na pia unashinda fesibuku muda wote, hutawedha fanya kadhi ukamalidha.
 
Nipo dar lakini pia mwanza naweza kufanya kazi. Nipo tayari kulala au la. nina miaka 24 sina anaenitegemea sijaolewa wala sina mtoto. Naweza kufanya kazi zote za ndani pia ni mtalaam wa mapishi. Mshara maelewano
xaxa hapo kwenye mstari mwekundu ndo panaleta utata kwani wadau tunahofia usije uka fanya "take -off stage" ya kuingia kwenye boom. hebu fafanua vizuri kabla hujapewa shavu.
 
Mwanangu mama lubango,umeshafukuzwa Chuo tayari? Au ndio harakati zako za kutafuta ada? Kila la kheri mwanangu kipenzi!
 
Last edited by a moderator:
Mama Lubango niPM, then tuongee ninahitaji dada wa kazi

Kutokana hali ngumu ya maisha inayotaka kunikabili nimeamua kuwa house girl ili nipate mahitaji yangu ya kila siku.
Naweza kufanya popote hata kwa wazungu coz I can speak english fluently.
Please mwenye shida na house girl anipm na hatajutia uamuzi wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom