Natafuta kazi za Kilimo na mifugo

Mimi ni mhitimu wa kozi za Kilimo na mifugo Natafuta ajira popote Tanzania nipo Mtwara naombeni msaada wenu kwa yeyote meenye connection aniunganishe.
Sim no:0678772549
Email:ngualos@gmail.com

mkuu ni DGA,CGA au JIWE?
 
kusoma na kuapply ulichokisoma ni vitu viwili tofauti mkuu, inahitaji akili mbadala kama alivokuja huku ndo aelezwe umuhimu kozi yake katika jamii
Mkuu nadhani uvivu wa sisi watanzania unatusumbua unakuta humu kuna maada nyingi kama hii na wadau wametoa mwongozo sasa mtu anapo kosa mda wa kufuatilia mijadala ya wengne anataka nae aanzishe yake

Tukirudi kwenye maada ni kuwa kwamba hapo alipo masasi anaweza kuwaona wakulima na akiweza aingie hata newala kuna wakulima wengi ila lazima afanye kazi kwa kujitolea kwanza kwa kuwapa ushauri na kuwaelimisha juu ya ufugaji na hapo ndo atatengeneza mazingira ya kujiari
 
uko sawa kabisa mkuu, na kikubwa ni nature ya nchi yetu inavoendekeza kufanya kazi za kuwa mtu amechomekea muda wote ndo uonekane unafanya kazi
 
Ushauri wangu, fikiri nje ya box
Omba kujitolea(volunteering) kwenye kada yako au tumia resource ulizonazo hapo ulipo kufikia kile unachotaka
Ukiangalia pia value chain si lazima ulime waweza kuwa informal consultant kwa muda huu kwenye eneo lako la karibu au uka-base kwenye information esp kwenye social medias
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom