Natafuta kazi za housekeeping, front office n.k

Irene marwa

Member
Jul 25, 2020
35
36
Jamani mimi naitwa Irene nina shida,

Natafuta kazi nina uzoefu na mambo ya service, housekeeping, front office pia hata kama kuna kazi yoyote nje ya hizo nipo tayari kufanya ila iwe tu maadili hata kama n kuuza duka maana sahivi nipo tu likizo na nilikua nategemea kazi ya hoteli ili niweze kulipia ada na kodi.

Ila tumesimamishwa hivyo hali imekuwa ngumu naombeni msaada wenu angalau niweze kupata ada ya muhula huu ujao.
 
Jamani me naitwa Irene nina shida natafuta kazi nina uzoefu na mambo ya service, housekeeping, front office pia hata kama kuna kazi yoyote nje ya hizo nipo tayari kufanya ila iwe tu maadili hata kama n kuuza duka maana sahivi nipo tu likizo na nilikua nategemea kazi ya hoteli ili niweze kulipia ada na kodi ila tumesimamishwa hivyo hali imekuwa ngumu naombeni msaada wenu angalau niweze kupata ada ya muhula huu ujao
Utapata ucjali
 
Jamani me naitwa Irene nina shida natafuta kazi nina uzoefu na mambo ya service, housekeeping, front office pia hata kama kuna kazi yoyote nje ya hizo nipo tayari kufanya ila iwe tu maadili hata kama n kuuza duka maana sahivi nipo tu likizo na nilikua nategemea kazi ya hoteli ili niweze kulipia ada na kodi ila tumesimamishwa hivyo hali imekuwa ngumu naombeni msaada wenu angalau niweze kupata ada ya muhula huu ujao.
Mungu ndiye mjuzi, muombe Sana atakupa njia
 
Nina deal na watu kama nyie. Ila kwa sasa bado sijafungua services zangu. Dah!! Kama hutojali unaweza nicheki, then ntajua nafanyaje nkukutanishe na mwajiri wako (atakae kuwa).
 
Jamani me naitwa Irene nina shida natafuta kazi nina uzoefu na mambo ya service, housekeeping, front office pia hata kama kuna kazi yoyote nje ya hizo nipo tayari kufanya ila iwe tu maadili hata kama n kuuza duka maana sahivi nipo tu likizo na nilikua nategemea kazi ya hoteli ili niweze kulipia ada na kodi ila tumesimamishwa hivyo hali imekuwa ngumu naombeni msaada wenu angalau niweze kupata ada ya muhula huu ujao.
vp umeshajifungua irene?
 
Nyie nao mnadandia tu maneno kwa mbele kaka kma huna msaada kwangu kaa kimya hayo hayakuhusu na kama wew ndo ulinipa hiyo mimba basi ndo uendelee kujibu utopolo mtu hunijui sikujui badala utoe msaada kulingana na kilichopo ushakimbilia kwenye mimba utazani ulinipa wew
kwa majibu haya mdada utaweza interview yenye kero na maswali ya kejeli? jifunze kuficha hasira zako za kikurya
 
Nyie nao mnadandia tu maneno kwa mbele kaka kma huna msaada kwangu kaa kimya hayo hayakuhusu na kama wew ndo ulinipa hiyo mimba basi ndo uendelee kujibu utopolo mtu hunijui sikujui badala utoe msaada kulingana na kilichopo ushakimbilia kwenye mimba utazani ulinipa wew
Kuna maswali mengine hapa chefuchefu unaulizwa bila wewe mwenyewe kujua kama unafanyiwa usaili na kuona vile ulivyo. Unavyokurupuka kujibu tena kwa mihemko na hasira unajiharibia.
 
Jamani mimi naitwa Irene nina shida,

Natafuta kazi nina uzoefu na mambo ya service, housekeeping, front office pia hata kama kuna kazi yoyote nje ya hizo nipo tayari kufanya ila iwe tu maadili hata kama n kuuza duka maana sahivi nipo tu likizo na nilikua nategemea kazi ya hoteli ili niweze kulipia ada na kodi.

Ila tumesimamishwa hivyo hali imekuwa ngumu naombeni msaada wenu angalau niweze kupata ada ya muhula huu ujao.
Hufanyi field?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom