Natafuta kazi za hotelini mkoani Arusha

Napenda kazi ya hoteli hivo mwenye kujua mahari kuna nafasi ya kazi anielekeze_________

Musamaganga45@gmail.com
Or
mussatendeli@yahoo.com
Ndugu sina hakika unaposema una hitaji kama ya hoteli una maanisha katika idara gani maana neno hoteli ni neno linalojumuisha idara nyingi.
Jieleze vizuri una taka idara gani,uzoefu wako,elimu yako nk ili wadau wakusaidie,kuandika kwako kwa kifupi hakutakupa matokeo chanya.
Pia weka namba yako ya simu sio wote wanaoweza kukuandikia email,unaogopa nn kuweka namba yako ya simu ikiwa unahitaji msaada?
 
Kili wonders hotel wanatafta wafanyakazi,ni hotel mpya hivyo wanahitaji watu wengi. Ipo moshi. Ingia zoom tanzania utaona maelekezo yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom