Eneo gani yaani mbona haupo specific na maswali ni direct na mepesi kabisa?!Najua kutumia computer
Utakamatwa we mbwigaNaomba nikuPM mkuu
ncheki 0658268999 kazi ya kutembeza maziwa fresh mtaan/stand daresalamJamani wapendwa habari zenu.
Nimevumilia nimechoka sasa nimekaa sana nyumbani mpaka nimechoka hata senti inanipiga chenga jamani.
Naombeni kazi sichagui yoyote nafanya muhimu mkono uingie kinywani please msaada jamani.
Nimesomea ualimu nimeaplai nimekosa maisha ni magumu kazi yoyote nafanya nawaombeni sichagui asanteni.
sh ngapi kwa rut moja?Ninalima cannabis sativa kule mbinga nilikuwa nahitaji msafirishaji parcel nalipa zaid ya anaeajiriwa anyway
Ukikosa legal work unaweza nichek
We jamaa umewaza mbali ahaaaaaa, ila muomba kazi na wewe hujamsikiliza spika wako wa bunge Mr ndungai anasema graduate mjiajiri fuata ushauri wakeHivi hawa freemasons ni kweli wanaexist au ni romours tu ya impact zao?
Weka mawasiliano yako nikujuze Jambo ukilielewa linaweza kuwa msaada kidogo. Hatutakiwi kuchokaAmin nmechok sam
Hii ipo je mkuu mimi Nipo dar nahitajiNinalima cannabis sativa kule mbinga nilikuwa nahitaji msafirishaji parcel nalipa zaid ya anaeajiriwa anyway
Ukikosa legal work unaweza nichek
Interested mkuu nikupate wapi ??Ninalima cannabis sativa kule mbinga nilikuwa nahitaji msafirishaji parcel nalipa zaid ya anaeajiriwa anyway
Ukikosa legal work unaweza nichek
unapenda ligi we jamaaEbu ngoja nikubali kwamba sijaelewa, lakini naomba niulize kwamba....
Aliandika kwa lugha gani..??
huyu jamaa m bishi kweliunapenda ligi we jamaa
Am in bro! ni ckeck inbox..Ninalima cannabis sativa kule mbinga nilikuwa nahitaji msafirishaji parcel nalipa zaid ya anaeajiriwa anyway
Ukikosa legal work unaweza nichek
atakua Muha wa kigomahuyu jamaa m bishi kweli
Enewei karibu CHATTLE
Nenda haraka ukalime.huku jamii forum unapoteza muda.Jamani wapendwa habari zenu.
Nimevumilia nimechoka sasa nimekaa sana nyumbani mpaka nimechoka hata senti inanipiga chenga jamani.
Naombeni kazi sichagui yoyote nafanya muhimu mkono uingie kinywani please msaada jamani.
Nimesomea ualimu nimeaplai nimekosa maisha ni magumu kazi yoyote nafanya nawaombeni sichagui asanteni.