Natafuta kazi yoyote

netti mimi

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
147
Reaction score
109
Jamani wapendwa habari zenu.

Nimevumilia nimechoka sasa nimekaa sana nyumbani mpaka nimechoka hata senti inanipiga chenga jamani.

Naombeni kazi sichagui yoyote nafanya muhimu mkono uingie kinywani please msaada jamani.

Nimesomea ualimu nimeaplai nimekosa maisha ni magumu kazi yoyote nafanya nawaombeni sichagui asanteni.
 
Mungu akupe subira na uvumilvu katika kutafuta hitaji la moyo wako
 
Ni vyema ukataja na mkoa ulipo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…