Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

Joined
Feb 23, 2017
Posts
30
Reaction score
5
Habar wana jamii forum mimi ni kijana wa miaka 2 2 nina zungumza kiswahili na kingereza vzur.ninaelimu ya form four Nina certificate ya computer, ant_coruption.takukuru.natafuta kazi yoyote ya shift ambayo nitakuwa na uhuru wa kuingia muda wowote.iwe ya kiwandani supermarket au popote.
Nitafutwe kwa number 0755021670
0622936264
Email:meshackbazilmtobwa.8@gmail.com
 
Hivi huwa mnaposema mnatafuta Kazi yoyote huwa mnamaanisha nini? Sisi Watu wa Pwani hasa Dar es Salaam, Bagamoyo, Tanga, Pemba na Unguja, Mombasa na Lamu umetushtua kidogo Mkuu kwani haya maeneo tajwa na kwenyewe huwa kuna Kazi zinazofanyika tena maalum na nyeti kabisa.
 
Unatafuta kazi yoyote ya shift ambayo utakuwa huru kuingia muda wowote....Hahahaaa kazi unayo kayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom