giovana moris
Member
- Oct 24, 2017
- 13
- 2
Natafuta kazi nipo Arusha nina umri wa miaka 19 nina elimu ya kidato cha nne nina uzoefu wakuuza duka la vinywaji
Unajua kuandika CV??Natafta kaz nipo arusha nna umri wa miaka 19 nna elim ya kidato cha nne nna uzoefu wakuuza duka la vinywaj
NdioUnajua kuandika CV??
Njoo PMNdio
KeWe me au ke
CjakuelewNjoo PM
Hujui hata pm umefata nn jfCjakuelew
Me n mgeni kwan uwez nielewesha kiref chake taratib ad unijb ivoHujui hata pm umefata nn jf
Kaz ganvp utaiweza kazi!!!
PM ni private message dadaCjakuelew
OkPM ni private message dada
Kaolewe naww kma rahaUko tayar kuwa mke...?
Mkuu vipi tena???Uko tayar kuwa mke...?
Achana na dhana zisizo halisi.mama we njoo nikuoe tuendeleze maisha unadham utaish peke mpaka kufaKaolewe naww kma raha
Kuolew pia ni kazi nzuri tuMkuu vipi tena???