Natafuta kazi yoyote ya kufanya ili niweze kuendesha maisha

iampizooh

Member
Sep 2, 2017
43
34
Habari wana jamii forum, Naitwa Peter naishi dar es salaam.

Natafuta kazi yoyote ya kufanya ili niweze kuendesha maisha. Nimesoma mpaka chuo, mwalimu wa shule ya msingi..lakini sijabahatika kupata Ajira.

Natafuta kazi yoyote ambayo mfano stationary, hotelini, madukani, usafi, supermarket na nyingne zinazofanana na hizo

Namba ya simu: 0623-463055
Naomba mnisaidie kunitafutia kazi kama mna connection tafadhali
 
Pamoja mkuu. Utapata tu jaribu pia kupita hayo maeneo uliyotaja physicaly kabisa kuomba kazi. Si unajua mitandaoni humu hatujuani kuaminiana kidogo inakua ngumu, tofauti na wewe mwenyewe ukaenda kuomba hiyo kazi.
 
Fursa hiyo
IMG_20210704_171813.jpg
 
Back
Top Bottom