Natafuta kazi yoyote ya halali

Natafuta kazi yoyote ya halali

Papaa2

Senior Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
102
Reaction score
108
Mimi ni kijana nina miaka 19 natafuta kazi yoyote ata ya houseboy popote ata kama ni mikoa ninmemaliza form 4 mwaka jana kwa mawasiliano 0755995231 niko tayari siku yoyote
 
Dogo ongeza Umakini, ukitaka kukutana na Yeyote hakikisha Watu wa Familia yako wana taarifa. Watu mbalimbali watatoa Namba zao uwatafute.

Binadamu Mwema na Mbaya hawatofautiani kwa namba ya simu, Elimu, Kipato, jinsia,Umbo, sauti, sura , dini wala Kabila Bali Roho ambayo sio rahisi kutambua kwa haraka na Muda mfupi!
 
100% uko sahihi.
 
Nmekupata
 
Bado natafuta, ata mikoani pia kazi yoyote ambayo ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom