stevenjacktesha
Member
- Dec 2, 2016
- 11
- 3
click link hii kuchek jins ya kuongeza knowledge yako kazi zikutafte sio wewe uzitafte
Mshahara ni maelewano baina ya bos na muajiliwa na kazi yenyewe ilivyo naweza nikasema mshahara mkubwa kumbe kazi si kubwa na ninaweza nikasema mdogo kumbe kazi ni kubwa.Unataka mshahara kias gani kwa mwezi
Unakaa maeneo gani, nina duka la hard ware lipo Dar natafuta mtu. Mshahara laki na hamsini.Wakuu habar zenu.mimi ni msichana nina umri wa miaka 20 naishi dar nilikuwa natafuta kazi nimemaliza kidato cha nne na nimesoma computer(Microsoft office).nilikuwa natafuta kazi yoyote halal natanguliza shukran asanten..[emoji120] [emoji120]
Nipo mbagala mkuuUnakaa maeneo gani, nina duka la hard ware lipo Dar natafuta mtu. Mshahara laki na hamsini.
Best
Fado.
Pole kaka huko ni mbali nataka mtu wa maeneo ya karibu na duka.Nipo mbagala mkuu
Upo maeneo ganiPole kaka huko ni mbali nataka mtu wa maeneo ya karibu na duka.
Sasa si useme karibu na duka ndiyo wapi huko?Pole kaka huko ni mbali nataka mtu wa maeneo ya karibu na duka.
Fanya editing na uandike "unatafuta kazi". Ukiandika ulikua unatafuta kazi maanayake umesha pataWakuu habar zenu.mimi ni msichana nina umri wa miaka 20 naishi dar nilikuwa natafuta kazi nimemaliza kidato cha nne na nimesoma computer(Microsoft office).nilikuwa natafuta kazi yoyote halal natanguliza shukran asanten..[emoji120] [emoji120]
Kichwa cha habari kinajieleze mkuuFanya editing na uandike "unatafuta kazi". Ukiandika ulikua unatafuta kazi maanayake umesha pata
Mbezi makabe.Sasa si useme karibu na duka ndiyo wapi huko?
Punguza ujuaji mkuu......Kichwa cha habari kinajieleze mkuu
Wasi wasi wako tu ndugu naamn wapo waeelewa wameelewaa.Punguza ujuaji mkuu......
Hapo haujapata ndio unakua mtata namna hii, je ukipata sindio matako yatalia pwata[emoji298] ...
Mkuu kuna mty ypo makumbusho vip anaweza kja kfanya hyo kzMbezi makabe.
Sina wasiwasi kijana....Wasi wasi wako tu ndugu naamn wapo waeelewa wameelewaa.
Unaishi wapi?Wakuu habar zenu.mimi ni msichana nina umri wa miaka 20 naishi dar nilikuwa natafuta kazi nimemaliza kidato cha nne na nimesoma computer(Microsoft office).nilikuwa natafuta kazi yoyote halal natanguliza shukran asanten..[emoji120] [emoji120]
MbagalaUnaishi wapi?
Hapo ndipo unapokosea ukiandika barua ya maombi namna hio huwezi pata Kazi, kubal mapungufu then Fanya changes, usiassume kua muajiri kaelewaWasi wasi wako tu ndugu naamn wapo waeelewa wameelewaa.