mimi nilimaliza kidato
cha nne mwaka jana na
matokeo yangu nilipata
DIV IV ya 28.
nna D za
Civics,kiswahili,geog,history,
chemistry na nna C ya
english. nimeshindwa
kujiunga na chuo
kusomea kozi
kwasababu sina hela
kabisa na hata nyumbani
hela ngumu sana.
natafuta kazi yoyote
ambayo ni halali
itayoweza kunipatia
kipato maana maisha
kwangu yamekua
magumu.umri wangu ni
miaka 19 na naishi
mikocheni,dar es salaam.
kama kuna mtu yeyote
ambae atapenda
kunsaidia au
kuniunganishia sehemu
yoyote aweasiliane na
mm kupitia namba
0714499248, email
hamic94@gmail.com au
aniPM na MUNGU
atakubariki. natanguliza
shukrani
cha nne mwaka jana na
matokeo yangu nilipata
DIV IV ya 28.
nna D za
Civics,kiswahili,geog,history,
chemistry na nna C ya
english. nimeshindwa
kujiunga na chuo
kusomea kozi
kwasababu sina hela
kabisa na hata nyumbani
hela ngumu sana.
natafuta kazi yoyote
ambayo ni halali
itayoweza kunipatia
kipato maana maisha
kwangu yamekua
magumu.umri wangu ni
miaka 19 na naishi
mikocheni,dar es salaam.
kama kuna mtu yeyote
ambae atapenda
kunsaidia au
kuniunganishia sehemu
yoyote aweasiliane na
mm kupitia namba
0714499248, email
hamic94@gmail.com au
aniPM na MUNGU
atakubariki. natanguliza
shukrani