Ngoja tuweke marumaru kabisa hili kaburi.Habari wakuu
Natafuta kazi yoyote halali, kuuza duka, kuosha magari, kubeba tofali etc. Pia nina leseni ya udereva class D.
Umri miaka 22, elimu kidato cha 6 nipo dar es salaam.
Natanguliza shukrani..
Kinachowagharimu huwa wanaanza kutukana watu wasiowajuwa humu kwa kutafuta umaarufu kunuka.Mwenyezi Mungu akusimamei katika Hilo.
Kama muosha magari kwa mwezi ana make shilling laki tano, kuna shida gani kufanyakazi hiyo?Tofal jichanganye utapewa kaz
Kuosha magar we jichanganye utapewa kaz
Naomba connection mkuu. Mimi sijawahi kukutukanaKinachowagharimu huwa wanaanza kutukana watu wasiowajuwa humu kwa kutafuta umaarufu kunuka.
Ndio maana nimemuhfadhia hili kaburi, yaleyale ya GABO DELGADO.