Natafuta kazi yoyote halali

Natafuta kazi yoyote halali

Hakikisha unapoenda kukutana na hawa wanaokuahidi kazi uwende na kaka zako wawili au niseme wanaume wawili ambao ni ndugu zako, hakikisha unaenda mpaka hiyo sehemu ya kazi ndio yawe makutano, yani kama ni duka au ofisini, USIKUBALI KUITWA SEHEMU ZENYE UKIMYA, AU NYUMBANI AU KWENYE HOTEL AU AJE KUKUCHUKUA NA GARI SEHEMU KATAA, Dunia inatisha sasa hivi.
 
Kweli kabisa dunia imeoza eti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom