kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 3,145
- 7,775
Ok hope utapata humu kuna watu wana moyo wa kusaidia.Iyo pesa n kubwa sana kwangu ila kwa sasa nataman iwe ndan ya dar (personal reasons)
Ok hope utapata humu kuna watu wana moyo wa kusaidia.Iyo pesa n kubwa sana kwangu ila kwa sasa nataman iwe ndan ya dar (personal reasons)
Kuwa na ID feki haikuzuii kumsaidia. Kama unaweza msaidie tu atakupa true identity kama utahitaji, mwambie.ID feki halafu unaomba kazi?
nipo nduguNakuona bhana
Nipe kazi iyo mkuu niko moshiUnaweza kufanya kazi moshi? ila mshahara take home 350,000 baada ya makato yote.
Nikazi ya usafi na kupika, ila kwa wazungu na wanahitaji mwanamke. Kama mwanamke nitumie cv yako pmNipe kazi iyo mkuu niko moshi
Oooh oky mkuu,,,,bas ntaku connect na mdada then utampa info zote,,,ni.inbox your number mkuu mm pm yangu inakataa kufunguka ina load.mda bila mafanikio sorry by the wayNikazi ya usafi na kupika, ila kwa wazungu na wanahitaji mwanamke. Kama mwanamke nitumie cv yako pm
Nicheki 0687 466 431 nicheki mkuuNikazi ya usafi na kupika, ila kwa wazungu na wanahitaji mwanamke. Kama mwanamke nitumie cv yako pm
Ok mkuu, takucheki jioniNicheki 0687 466 431 nicheki mkuu
you are not serious......Iyo pesa n kubwa sana kwangu ila kwa sasa nataman iwe ndan ya dar (personal reasons)
Aisee..... uko serious unatafuta kazi? Bahati inakujia unaikataa???Iyo pesa n kubwa sana kwangu ila kwa sasa nataman iwe ndan ya dar (personal reasons)
mkuu inbox si ndo pm mkuu?Oooh oky mkuu,,,,bas ntaku connect na mdada then utampa info zote,,,ni.inbox your number mkuu mm pm yangu inakataa kufunguka ina load.mda bila mafanikio sorry by the way
Pamoja we can kupunguza tatizo la ajira
Nilisema toka mwanzo huyu mtu hayuko serious kukatokea wajinga wachache kunipinga.you are not serious......
Anyway mi natafuta mhudumu wa nyumbani(Home Attendat),mshahara elfu 40 baada ya makato,niko morroco kama unaweza
Asante mkuunenda NPS POSTA madada wanahitajika pale wa kazi ya SECURITY PARKING