Natafuta kazi yoyote halali isipokuwa kuuza bar, naomba nisaidieni

Ray 4 real

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
800
762
Habari za mchana wakuu ni binti wa miaka 25 natafuta Kazi yoyote halali isipokuwa kuuza bar , lakini kaz zote halali naweza ..
Kama waitress, housekeeper, kuuza duka, kuuza shell n.k, namaanisha Kazi inayoendana na elimu yangu.
Nimesomea hotel management na Nina uzoefu wa miaka 3 kwenye hotel industry. Nina elimu ya kidato cha 4 Niko tayar kufanya mkoa wowote..ila Mimi naishi Dar Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom