Natafuta kazi yoyote halali isipokuwa kuuza bar, naomba nisaidieni

Utapeli wako hujaachaga tu
Acha kutupotezea muda na upuuzi wako humu! Au ww ndio tapeli. Watu wanataka ajira serious usilete bange humu dogo.
Heshim watu kwa majib yako ya hapa hataile kazi kukusanya tozo za wateja wanaoingia vyooni hufai.
 
Hahahaaa naona jiwe limempata muhusika kupanic vepee nakujua sana kuliko unavofikiria ukionaga bandiko la mtu kuomba kaz unajifanya unataka kusaidia bila kujua watu wanatumia I'd tofauti kumbe ndo walewale .. Tapeli mkubwa ww.. Wasalimie Iringa
 
Mmmmhhhh is this true?
 
Habari za mchana wakuu ni binti wa miaka 25 natafuta Kazi yoyote halali isipokuwa kuuza bar , lakini kaz zote halali naweza
Nimesomea hotel management na Nina uzoefu wa miaka 3 kwenye hotel industry. Nina elimu ya kidato cha 4 Niko tayar kufanya mkoa wowote.. Natanguliza shukrani
naomba picha nijue wapi utafit
 
Habari za mchana wakuu ni binti wa miaka 25 natafuta Kazi yoyote halali isipokuwa kuuza bar , lakini kaz zote halali naweza
Nimesomea hotel management na Nina uzoefu wa miaka 3 kwenye hotel industry. Nina elimu ya kidato cha 4 Niko tayar kufanya mkoa wowote.. Natanguliza shukrani

Unaujuzi wa kufanya sales kwa kusambaza bidhaa za kilevi? Pia unajua kuendesha gari na leseni ya ureva iliyo hai?
 
Habari za mchana wakuu ni binti wa miaka 25 natafuta Kazi yoyote halali isipokuwa kuuza bar , lakini kaz zote halali naweza
Nimesomea hotel management na Nina uzoefu wa miaka 3 kwenye hotel industry. Nina elimu ya kidato cha 4 Niko tayar kufanya mkoa wowote.. Natanguliza shukrani
Kuna kazi zimetoka AICC, Jaribu kuomba sasa >>>AICC<<<
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom