Natafuta kazi yeyote

Kiba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
459
62
Habari wana jamii mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25 taaluma yangu ni kidato cha nne baadaye nikachukua ualimu wa English medium diploma 2 years na kufanya kazi ya ualimu kwa muda wa miaka miwili na nusu sasa nimepunzika nyumbani .naomba kwa taasisi ,kampuni iliyotayari uhitaji wa mchapakazi tuwasiliane kwa email hii amedeusmushi88@gmail.com .
 
Mbona umesema unatafuta kazi yeyote ? halafu kazi haiwezi kukufuata,ila wewe ndio uitafute, hivi inawezejana kweli mtu akachukua email yako na kukuita kazini wakati wengi wanatafuta kazi kama yako.
 
Habari wana jamii mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25 taaluma yangu ni kidato cha nne baadaye nikachukua ualimu wa English medium diploma 2 years na kufanya kazi ya ualimu kwa muda wa miaka miwili na nusu sasa nimepunzika nyumbani .naomba kwa taasisi ,kampuni iliyotayari uhitaji wa mchapakazi tuwasiliane kwa email hii amedeusmushi88@gmail.com .

Number weka hapa
 
labda tuanzie hapo nini kilikufanya uamue tu kupumzika nyumbani,,, Huoni hata hiyo kazi mpya ukiipata kuna siku isiyo na jina utaamua kupumzika nyumbani kama kawaida yako???',, Samahani lakini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom