Samjela Jr
Member
- May 23, 2017
- 50
- 14
Sana tu
Hatatuharibia mabinti zetu?Sana tu
Ndugu yangu kwa haraka haraka ni zakawaidaUpo wapi ndugu na una penda ufanye kazi gani labda za nguvu au za kawaida
Trust comes from the both endsHatatuharibia mabinti zetu?
Hapana siweziiiHatatuharibia mabinti zetu?
NashukuruSana tu
Pamoja sana ndugu yanguuSawa Mzee baba
Nashukuru sana ndugu yangu mwenyezi Mungu awe nawe piaWalau wewe unajitambua unatafuta kazi yakufanya.
Mungu atakusaidia ndugu yangu ninakutumia pm number ya mtu anaweza kukusaidia
Ndio ivo ndugu yangu pombe na mihadarati inatuchanganya sana vijana wa siku hiziUna akili sio wenzio wanawaza kubet,heshima hawana....juzi mmoja kanitishia kunikata mitama,kisa nilikua namwabia apunguze matusi,nikaishia ku cool down!
Sidhani kama nimevaa kihuniIla kuna kitu umekosea kidogo,uvasji wako utaleta mashaka kidogo,muonekano nao unasaidia pia kumwaminisha mtu jambo flani ingawa matapeli nao ni watanashati
Kwanza hilo likofiaSidhani kama nimevaa kihuni
Lakini nashukuru kwa maoni yako
Kofia ni urembo na pia huwa inasaidia katika juaKwanza hilo likofia