beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
Asante sana sema Mwenye shibe hamjui Mwenye njaa. Hongera sanaNatafuta wa Kunifulia Nguo Weekend
Naitwa Mariam kalutaSema jina lako kamili.
How come unasema hivyo? i just said natafuta mtu wa kunifulia na wewe unanisema hivyo as if nimekudharau Pole sana kwa kunielewa hivyo...Asante sana sema Mwenye shibe hamjui Mwenye njaa. Hongera sana
Haina shidaHow come unasema hivyo? i just said natafuta mtu wa kunifulia na wewe unanisema hivyo as if nimekudharau Pole sana kwa kunielewa hivyo...
Asante kwa comment yakoweka picha mkuu kazi hiyo appearance ina matter
Asante kwa ushauriTAFUTA BANDA TUFUNGUE MGAHAWA CHIPSI YAI KUKU N.K KAMA UKO SERIOUS...UTAAJIRIWA UTALIPWA 200000 KWA MWEZI...ILA UKITAFUTA MBIA...WEWE UKATOA UJUZI NA MUDA YEYE AKATOA MTAJI MWISHO WA SIKU MNAGAWANA FAIDA NUSU KWA NUSU INAPENDEZA KULIKO KUAJIRIWA NA KULIPWA KWA MWEZI....
Je! UTAUFANYIA KAZI? NAJUA MIAKA MIWILI UMEZOEA HIYO KAZI UNAYOOMBA!Asante kwa ushauri
Kwa uweza wake MunguJe! UTAUFANYIA KAZI? NAJUA MIAKA MIWILI UMEZOEA HIYO KAZI UNAYOOMBA!
njoo pmHabari za usiku wapendwa, mimi ni msichana miaka 25 nina cheti cha hotel management na nina uzoefu wa miaka 2 kama waitress nipo dar . Naomba kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi maana maisha magumu na wenyenyumba nao wanataka kodi Zao!! .. Nitashukuru sana.
yes hayo ndo majibu ya wanaJf wengi lakin pambana sana hyo ni fani ya wengi,i respect it,inatukutanisha na watu toka mataifa mbalimbali na kujenga urafiki.Asante kwa comment yako
Sawa mkuunjoo pm
Ni kweli isemayoyes hayo ndo majibu ya wanaJf wengi lakin pambana sana hyo ni fani ya wengi,i respect it,inatukutanisha na watu toka mataifa mbalimbali na kujenga urafiki.
Uzoefu ninao mkuu wa miaka 2kzi hiyo inahitaji uzoefu interview take ni ngumu