sawaNatafuta kazi ya usafi kwa maeneo ya daresaalam Nina uzoefu na kazi hii.
Bado tangazo umeliminya sana ,jitangaze vizuri uzoefu wako ,usafi wa aina gani......jinadi vizuriNatafuta kazi ya usafi kwa maeneo ya daresaalam Nina uzoefu na kazi hii.
Maelewano pmTaja kiwango cha mshahara,
Kazi ya kwenda na kurudi au kulala huko,
Jinsia yako n.k
Hahahah! AiseeAngalizo, nyumba iwe na misosi ili kuunga mkono juhudu za Hashim Runge Spunda
umri wako na jinsia tafadhali? vipi ukipata nije ya mkoa wa Dar es salaam utaweza?Natafuta kazi ya usafi kwa maeneo ya daresaalam Nina uzoefu na kazi hii.