Nahene lulu guku wabheja noo.Habari za jioni,
Ninaitwa Samwel Mayala Mimi ni chef mwenye uzoefu wa miaka 18 kwenye hotel.
Ninapika vyakula aina mbalimbali ikiwemo Tanzania na nji za mataifa mbalimbali.
Pia ninapika kwenye shughuli kama vile harusi, kipaimara na ubatizo pia ukiwa na shughuli nyumbani unaniita nyumbani nakuja kukupikia
Lakini mbali ya hayo pia nafundisha kupika chakula aina mbalimbali.
Napatikana Dar.
Mawasiliano yangu ni 0657642225/0744054228
View attachment 2703184
AsanteMkuu kwa uzoefu wako unaweza pia jaribu hizi za nje
[emoji116][emoji116]
KAZI ZA KWENYE CRUISE SHIP
ASSISTANT FOOD AND BEVERAGE MANAGER: https://shipjobs.carnival.com/job/miami/assistant-food-and-beverage-manager/29416/50667394320…
RESTAURANT OPERATIONS MANAGER:https://shipjobs.carnival.com/job/miami/restaurant-operations-manager/29416/46915873408…
SPECIALTY RESTAURANT MANAGER:https://shipjobs.carnival.com/job/miami/specialty-restaurant-manager/29416/48600923632…
JUNIOR SOUS CHEF - PASTRY https://shipjobs.carnival.com/job/miami/junior-sous-chef-pastry/29416/45626263056…
CHEF DE PARTIE - PATISSIER: https://shipjobs.carnival.com/job/miami/chef-de-partie-patissier/29416/45626263024
Mkuu huu mchongo uliompatia itakuwa bora zaidi aende chuo cha bahari Dar Es Salaam Maritime Institute(DMI) kusoma kozi za kibaharia (mandatory course).Mkuu kwa uzoefu wako unaweza pia jaribu hizi za nje
[emoji116][emoji116]
KAZI ZA KWENYE CRUISE SHIP
ASSISTANT FOOD AND BEVERAGE MANAGER: https://shipjobs.carnival.com/job/miami/assistant-food-and-beverage-manager/29416/50667394320…
RESTAURANT OPERATIONS MANAGER:https://shipjobs.carnival.com/job/miami/restaurant-operations-manager/29416/46915873408…
SPECIALTY RESTAURANT MANAGER:https://shipjobs.carnival.com/job/miami/specialty-restaurant-manager/29416/48600923632…
JUNIOR SOUS CHEF - PASTRY https://shipjobs.carnival.com/job/miami/junior-sous-chef-pastry/29416/45626263056…
CHEF DE PARTIE - PATISSIER: https://shipjobs.carnival.com/job/miami/chef-de-partie-patissier/29416/45626263024
Ushauri mzuri hope ataufanyia kazi.Mkuu huu mchongo uliompatia itakuwa bora zaidi aende chuo cha bahari Dar Es Salaam Maritime Institute(DMI) kusoma kozi za kibaharia (mandatory course).
Huwezi kufanya kazi ya upishi melini kama hauna vyeti hivyo (First Aid, Fire [emoji91] Fighting, Personal Survival Techniques, Personal Safety and Social Responsibility, Ship Security Awareness).