Isma le ibuh
Member
- Oct 4, 2017
- 36
- 12
Hahaha..aisee,ila ndo alivosemakwa hiyo unaweza kuja kunikarangizia mahanjumati gheto kwangu mkuu?
Sawa ngoja nimtafute shukranOpen kitchen muulize anahitaji watu mara nyingi
Nimesema nyumban,maana yake nyumba zenye familia sijasema getto umeelewa tofautikwa hiyo unaweza kuja kunikarangizia mahanjumati gheto kwangu mkuu?
kwani mkuu ghetto kuna tatizo gani? ishu si makubaliano tu, au unaogopa nini?Nimesema nyumban,maana yake nyumba zenye familia sijasema getto umeelewa tofauti
Unaweza kuoa bila kupenda,mara paaap preg...............kwa hiyo unaweza kuja kunikarangizia mahanjumati gheto kwangu mkuu?
Ebu mtafute member mmoja mwenye anatumia I'd name madame @B aliwahi kutafuta mtu kama wewe kwaajili ya shughulizake maeneo ya kinondoniHabar wana jf
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 22 mkazi wa kigambon natafuta kazi ya upishi nina uzoefu wa mwaka mmoja nilikua nafanya kazi ilala hivyo kama kunamtu anatafuta mpishi labda wa kumpikia nyumban,mgahawan au kampun la kupika kwenye shughuri naomba asisite kunipigia pia ni mtaalam wa chips naweza kufanya kazi ya chipsi au grocery napatikana kigambon sim namba :0767959073 Au 0620134042 asanten sana
Umekuza mtaji. Hongera sanaUnaweza kuchoma nyama(nyama choma)??nahitaji kijana wa hivyo ajue na kutengeneza chips,(kama ulivyosema),..
Hahahahaa,.Umekuza mtaji. Hongera sana
kwan ghetto sio nyumbani mkuu?Nimesema nyumban,maana yake nyumba zenye familia sijasema getto umeelewa tofauti
nina dogo wa kiume hapa home, ni mtaalamu sana kwenye mambo ya kukaangiza (chipsi, nyama, kuku, wali, pilau etc)Unaweza kuchoma nyama(nyama choma)??nahitaji kijana wa hivyo ajue na kutengeneza chips,(kama ulivyosema),..
Kwahiyo anaowa wanaume wenzake?Unaweza kuoa bila kupenda,mara paaap preg...............
Neno kijana linamaanisha ni wakiume tu? anyway kama ni mwanaume anisamehe bureKwahiyo anaowa wanaume wenzake?