Vigezo vikuu vya kupata ajira KK SECURITY ni kama ifuatavyo:
- Academic qualifications. Uwe na cheti cha elimu ya sekondari kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
- Uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya kiiingereza, ujue na law kidogo.
- Urefu wako uwe wa kutosha, kuna kipimo pale, hakuna longo longo wala rushwa katika hilo.
- Uje na barua mbili za wadhamini pamoja na ya kwako mwenyewe ya kuomba kazi
Other qualifications are added advantage: Driving, computer literate e.t.c
HQ ziko Dar ila ajira huweza tolewa Mwanza na Dar vile vile.
Safiri uende mpaka Dar es salaam, japo kuna usumbufu sana pale.
HONGERA KWANZA KWA KUTOBAGUA KAZI....kama una ndugu dar nenda ofisi zao ndipo wanaajiri frequently ilg huko arusha sijui....ofisi zipo kwa mwinyi ila unashuka warioba au nyerere, tena kwa wewe f6 ni mara moja jamaa hela ni nzuri takehome kama 230000...ukipata lindo zuri utapata maslah zaidi au unaweza pata conection zingne ukiwa unalinda bz unakutana na mabosi mbalimbali
King'asti,
Kwanza nikusalimu, habari za siku nyingi?
Bila shaka u mzima wa afya tele!
Okay, usumbufu ambao KK wanaweza kukuletea ni ule ambao wewe mwenyewe unausababisha!
Kwa mfano, kwenye CV yako umeandika uliwahi kufanya kazi G4S lakini huna ushahidi, hapo lazima kinuke tu hata kama umefaulu vizuri written interview..
Watakurudisha mpaka ukalete uthibitisho kuwa ulitoka salama.
Hapa ndo vijana tujifunze kuandika CV tunazoweza kuzitetea..
Habari zangu ni njema, namshukuru Mungu.
Ahaa, hapo nimekuelewa. Nilishawahi kumpeleka binti hapo na akapewa kazi mara moja wakati hata simjui mtu hapo. Na yupo hadi leo, keshaingiza ndugu zake watatu. Im so proud of her kwa kweli.
Hayo mambo ya kudanganya kwenye cv sasa sio kosa lao bwana.
Yeah ni kweli si kosa lao madam!
Ndo hapo nimewaasa watafutaji wenzangu wawe makini sana..
Halafu, huyo binti hajawahi kukudokeza abc's za salary scales zao?
Natamani sana nijue hilo.
Mshahara nadhani ni laki unusu wa kuanzia. Ukiweka na overtime inafika laki mbili unusu. Hiyo ni clean money, ukiacha tips etc. Three years down the line nadhani anafikisha laki 4 almost. Usisahau ni std 7 'graduate'
Vigezo vikuu vya kupata ajira KK SECURITY ni kama ifuatavyo:
Other qualifications are added advantage: Driving, computer literate e.t.c
- Academici qualifications. Uwe na cheti cha elimu ya sekondari kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
- Uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya kiiingereza, ujue na law kidogo.
- Urefu wako uwe wa kutosha, kuna kipimo pale, hakuna longo longo wala rushwa katika hilo.
- Uje na barua mbili za wadhamini pamoja na ya kwako mwenyewe ya kuomba kazi
HQ ziko Dar ila ajira huweza tolewa Mwanza na Dar vile vile.
Safiri uende mpaka Dar es salaam, japo kuna usumbufu sana pale.
si kweli wewe ni mwongo...leaving yako ya 6 tu tena hawataki mambo ya majibu ya necta then jkt sio lazima wala sijui kujua computer hzo ni aded advantage....
Hivi wewe umekula maharage ya wapi?
Ulichokiongea unakijua au umekurupuka na swaumu?
Si bora ukajitolee jkt huko ili upate kazi moja ya taasisi za ulinzi na usalama utimize lengo.