Ludovic cickovic
Member
- Feb 21, 2020
- 30
- 15
Jkt unipe one laki ....Tatizo la ulinzi, bosi wako analipwa laki tano, wewe unapewa laki moja per month.
Hizo nguvu si bora ukalime nyanya
Jkt unipe one laki ....
Naic huo mfano ulioandika but it's not true
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaidie kijana boss ...Mlinzi analipwa 100,000/= mpaka 120,000/= kwa mwezi. Kama una mafunzo ya JKT na unajua kutumia bunduki cheo kimapanda na mshahara unakuwa mnono tofauti na wale wasiojua kutumia bunduki ,kwa mshika bunduki anapata nyongeza ya 40,000/= kwenye mshahara wake.
Kama upo Dar nichek nikuunganishe na kazi ya ulinzi ,andaa na hela ya dalali kabisa.Kama upo mkoani pia nitakupokea utalala kwangu kula juu yako ila sharti uje na nyanya kisado kimoja huku mjini tuna shida kweli na nyanya za kuungia mboga.
Nishaanza kuogopa kusaidia watu,nasikia kuna wengine washaliamsha huko wamesepa na billions za hela za watu bank,ss hapo mtu ukimwambia akupoze umfanyie mpango atalialia wee wakati yakitokea yakutokea wa kwanza mm.
Mlinzi analipwa 100,000/= mpaka 120,000/= kwa mwezi. Kama una mafunzo ya JKT na unajua kutumia bunduki cheo kimapanda na mshahara unakuwa mnono tofauti na wale wasiojua kutumia bunduki ,kwa mshika bunduki anapata nyongeza ya 40,000/= kwenye mshahara wake.
Kama upo Dar nichek nikuunganishe na kazi ya ulinzi ,andaa na hela ya dalali kabisa.Kama upo mkoani pia nitakupokea utalala kwangu kula juu yako ila sharti uje na nyanya kisado kimoja huku mjini tuna shida kweli na nyanya za kuungia mboga.
Rushwa ipo wapi hapo???kwa hiyo wale mawakala wa ajira ambao ukienda kwny interview unatozwa 10,000/= wanakula rushwa??ebu rekebisha kauli hz kazi ni risk kumuunganishia mtu juzi watu wamekwiba mabilions huko ww unafkli aliyeunga kazi anakuwa wapi ss kama sio nyuma ya nondo.Watu wa dar mnapenda hela kuliko utu mbona NYie mkija uku kwetu tunawapokea bila rushwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani laki si pesa?Jkt unipe one laki ....
Naic huo mfano ulioandika but it's not true
Sent using Jamii Forums mobile app
Jkt unipe one laki ....
Naic huo mfano ulioandika but it's not true
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kk wametoa nafasi?kwani bado anatafuta kazi?
aingie KK SECURITY, angalau take home ni 250,000/=
Oss sempai..una rank gani ktk karate tuanzie hapo..kama una black au kuanzia dan moja onwards basi salute kwako..Nikijana WA miaka 23
Napatikana kigoma
Elimu kidato cha nne Nina cheti
Mafunzo jkt OPP magufili
Afya njema na ujuzi wa karetii na cheti pia kipo
Nko tayali kufanya kazi ndani na nnje ya Tanzania
Natanguliza shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ukaulize vijana wenzio wa Suma jkt wanalipwa kiasi gani,Yaani kupitia jkt ndio unajisifu kwa lipi kwanzaJkt unipe one laki ....
Naic huo mfano ulioandika but it's not true
Sent using Jamii Forums mobile app