Natafuta kazi ya ulinzi

Mlinzi analipwa 100,000/= mpaka 120,000/= kwa mwezi. Kama una mafunzo ya JKT na unajua kutumia bunduki cheo kinapanda na mshahara unakuwa mnono tofauti na wale wasiojua kutumia bunduki ,kwa mshika bunduki anapata nyongeza ya 40,000/= kwenye mshahara wake.

Kama upo Dar nichek nikuunganishe na kazi ya ulinzi ,andaa na hela ya dalali kabisa.Kama upo mkoani pia nitakupokea utalala kwangu kula juu yako ila sharti uje na nyanya kisado kimoja huku mjini tuna shida kweli na nyanya za kuungia mboga.
 
Kwa huu mtindo wa Wasanii kuwa na Bodyguards...nadhani watavutiwa na cv yako.
 
Mlinzi analipwa 100,000/= mpaka 120,000/= kwa mwezi. Kama una mafunzo ya JKT na unajua kutumia bunduki cheo kimapanda na mshahara unakuwa mnono tofauti na wale wasiojua kutumia bunduki ,kwa mshika bunduki anapata nyongeza ya 40,000/= kwenye mshahara wake.

Kama upo Dar nichek nikuunganishe na kazi ya ulinzi ,andaa na hela ya dalali kabisa.Kama upo mkoani pia nitakupokea utalala kwangu kula juu yako ila sharti uje na nyanya kisado kimoja huku mjini tuna shida kweli na nyanya za kuungia mboga.
Msaidie kijana boss ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa dar mnapenda hela kuliko utu mbona NYie mkija uku kwetu tunawapokea bila rushwa

Rushwa ipo wapi hapo???kwa hiyo wale mawakala wa ajira ambao ukienda kwny interview unatozwa 10,000/= wanakula rushwa??ebu rekebisha kauli hz kazi ni risk kumuunganishia mtu juzi watu wamekwiba mabilions huko ww unafkli aliyeunga kazi anakuwa wapi ss kama sio nyuma ya nondo.
 
Kama bado unafikiri ulinzi ni kuwa na mwili mkuubwa, kupiga gym, sarakasi na kushika mabunduki ya JKT bado una fikra za kizamani sana.

Unakoelekea kweli utalipwa Tsh 120,000
 
watu wanakudanganya kijana kuna makampuni makubwa ya ulinzi yanalipa vizuri....tu...kuna mtu anapokea kuanzia 320000/= kadri unavyozidi kupanda lenk na mshahara nao unaongezeka....kama hujapata ebu nitafute...tuyajenge...hutojutia
 
Nikijana WA miaka 23
Napatikana kigoma
Elimu kidato cha nne Nina cheti

Mafunzo jkt OPP magufili

Afya njema na ujuzi wa karetii na cheti pia kipo

Nko tayali kufanya kazi ndani na nnje ya Tanzania

Natanguliza shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
Oss sempai..una rank gani ktk karate tuanzie hapo..kama una black au kuanzia dan moja onwards basi salute kwako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom