Natafuta kazi ya ulinzi.

Natafuta kazi ya ulinzi.

Cod-2

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
297
Reaction score
437
Salaam zenu wakuu, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24 nimehitimu elimu ya secondary yani kidato cha nne na sita. Nimepitia mafunzo ya jkt nina hakili Timamu. Naomba kama kuna kampuni au mtu anayefahamu kampuni yenye uitaji wa ombi langu anisaidie tuwasiliane, nipo pwani kibaa mtaa picha ya ndege.

NB: nitafanya kazi sehemu yoyote nchini kulingana na makubaliano.

Mawasiliano 0764573163 au 0629542125
 
Nenda g4s secure solution ipo mwanza branch wanataka sana watu waliopita jkt watakuchua bila shida na wanalipa vizuri mno tena unapangiwa mgodini na mshahara ni mzuri tu hutojuta unahudumiwa kila kitu kula bure kulala na kusafirishwa kurudi likizo kigezo kikubwa jkt
 
Kuna taasisi nyingi tu za serikali zinaajiri walinzi au auxiliary police kwa vigezo vyako unapata nafasi.
Nenda na CV yako UDSM,TANROADS PWANI n.k unaweza pata nafasi na ukalipwa vizuri, huko utaweza kupata faida nyingi ikiwemo kupata nafasi ya kudumu, kupata chance ya kusoma na kubadili kazi as well as you need.
Usithubutu kufanya kazi kwenye haya makampuni ya ulinzi, ni manyonyaji na wavunjaji wakubwa wa sheria za kazi, utatumikishwa masaa mengi na mindset yako inaweza kuathirika kwa mifumo yao.
Nimewahi kufanya kazi na G4S BULYANHULU nikaacga nilivyoona upuuzi mtupu.ni heri usajili line kuliko kufanya kazi kampuni za ulinzi bongo. Ila kila mmoja na mtazamo na hisia zake, kuna watu niliwakuta na niliwaacha na bado wanaendelea mpaka leo.
Jaribu bahati yako ila yangu ni hayo tu.
Hizi kampuni jipu kubwa sana.
 
Ahsante sana mkuu ngoja nije PM ili unipe data zaidi naona kama una kitu cha kunisaidia
 
Nenda g4s secure solution ipo mwanza branch wanataka sana watu waliopita jkt watakuchua bila shida na wanalipa vizuri mno tena unapangiwa mgodini na mshahara ni mzuri tu hutojuta unahudumiwa kila kitu kula bure kulala na kusafirishwa kurudi likizo kigezo kikubwa jkt
Ahsante sana
 
Salaam zenu wakuu, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24 nimehitimu elimu ya secondary yani kidato cha nne na sita. Nimepitia mafunzo ya jkt nina hakili Timamu. Naomba kama kuna kampuni au mtu anayefahamu kampuni yenye uitaji wa ombi langu anisaidie tuwasiliane, nipo pwani kibaa mtaa picha ya ndege.

NB: nitafanya kazi sehemu yoyote nchini kulingana na makubaliano.

Mawasiliano 0764573163 au 0629542125
Umejaribu Suma imeshindikana?
 
Suma bado sijajaribu maana sijui taratibu zao zikoje na wanapatkana wapi kwa dar au pwani
Suma jkt mdogo wangu hawana ishu utalia njaa mpaka ukome mshahara 150000 utaweza.cha msingi wasiliana na mimi kwa no hii 0762219719 nkupe maelekezo upate kampuni ambayo kidogo inalipa not less than 250000
 
Salaam zenu wakuu, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24 nimehitimu elimu ya secondary yani kidato cha nne na sita. Nimepitia mafunzo ya jkt nina hakili Timamu. Naomba kama kuna kampuni au mtu anayefahamu kampuni yenye uitaji wa ombi langu anisaidie tuwasiliane, nipo pwani kibaa mtaa picha ya ndege.

NB: nitafanya kazi sehemu yoyote nchini kulingana na makubaliano.

Mawasiliano 0764573163 au 0629542125
Si ulikataaa police ww ukataka jwtz haya sasa sugua gagaaaaaa
 
Wazee huu uzi upo poa, ngoja na mie nitililikie humu humu!
Kuna mdogo wangu (mtoto wa bamdogo) Ana elimu ya form four pia amesomea ufundi umeme VETA ana grad one. Anatafuta kazi kwa yeyote mwenye kujua au kumsaidia apate kazi, hata alianza kwa temporarily siyo mbaya.
Natanguliza shukrani.
 
Mkuu we mbona dili uraiani na gamba lako hilo la jakata. Acha kukaa funguka tembelea makampuni ya ulinzi tena yale ya nje co Chui Security.
 
Back
Top Bottom