kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,896
Nenda g4s secure solution ipo mwanza branch wanataka sana watu waliopita jkt watakuchua bila shida na wanalipa vizuri mno tena unapangiwa mgodini na mshahara ni mzuri tu hutojuta unahudumiwa kila kitu kula bure kulala na kusafirishwa kurudi likizo kigezo kikubwa jkt
Kwani ukipangiwa mgodini utakua unalipwa dhahabu?? Au unagaiwa kitalu?