Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Hahahahahahahahahaha nimecheka sana aiseee
Acha kutuletea mambo ya kihuni bwana mdogo...
Mwanaume wewe.. Mwanamke wewe... 25 na 30 wewe....
Kinondoni wewe... Bunju wewe... Kila kitu wewe...
Stationary anatafuta Dada angu kwa kuwa hana akaunt JF nikaona sio mbaya nikaipost humu ndugu usinielewe vibayaUmemnasa vizur Sana kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Mimi binafsi natafuta kazi ya security guard na Nina sifa za kuimudu hiyo kazi but suala LA stationary anaitafuta Dada angu so usinione tapeli ndugu wala usipende kujipa cheo cha CIA mkuu nafikiri nimeelewekaahaaa pole sana hii jf kun c i a wa bongo we jichanganye tu na ukija na id mpya tutajua na utahama mazima jf utakuwa unapita tu.....
Hapa ungejaribu kutumia tu busara sio kuongea mbovu mbovu ...CV moja ya sister angu coz hana akaunt JF angekuwa nayo nafikiri angetafuta mwenyewe kwa kuipost humu CV nyingine ni yangu post Security guard
Acha kutuletea mambo ya kihuni bwana mdogo...
Mwanaume wewe.. Mwanamke wewe... 25 na 30 wewe....
Kinondoni wewe... Bunju wewe... Kila kitu wewe...
nenda pale G4S SECUREX karibu na ubalozi wa ufaransa kila alamisi wanarecruit watu aiseeNina uzoefu wa kazi ya ulinzi kwa miaka 2 Nina umri miaka 30 elimu yangu Form four ...Nina akili timamu na nina ijua kazi hizi kwa ufasaha nipo kinondoni dar es salaam Tanzania ..mawasiliano
Email: maikonlatonga@gmail.com
nenda kk security shuka mikocheni kwa mwinyi au warioba jamaa wapo vizuri kimaslahi pia kama una vigezo hawanaga longolongoNina uzoefu wa kazi ya ulinzi kwa miaka 2 Nina umri miaka 30 elimu yangu Form four ...Nina akili timamu na nina ijua kazi hizi kwa ufasaha nipo kinondoni dar es salaam Tanzania ..mawasiliano
Email: maikonlatonga@gmail.com
sawa kijana utapata unachotaka...Mimi binafsi natafuta kazi ya security guard na Nina sifa za kuimudu hiyo kazi but suala LA stationary anaitafuta Dada angu so usinione tapeli ndugu wala usipende kujipa cheo cha CIA mkuu nafikiri nimeeleweka
Umekosea kaka, hili swali hukutakiwa kujibu kabisa maana linaweza kukupunguzia marks kwa wengine wenye nia ya kukusaidiaKumlinda mke wako kwa kweli ni kazi nzuri ila ina changamoto nyingi sana pia kama ni mzuri mashaalah kwa kweli kazi itanishinda muda sio mrefu coz Mimi pia ni rijali mkuu
Samahani lakini