Natafuta kazi ya uhasibu

Natafuta kazi ya uhasibu

Rahimuhassan33

New Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta kazi ya kusomesha au ya uhasibu. Elimu yangu ni Diploma, mshahara ni maelewano chochote kitakachokuwepo basi tukikubaliana naweaz kuungana kufanya kazi. Nipo Zanzibar 0772 333 435.
 
Mda mwingine ukiomba kazi usitangulize sana salary issues unless you have experience. Ajira ni shida. Inabdi uwe unique
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom