Si kwamba hakuna magari mabovu, swala ni uende kwenye garage ya nan? Kama huna kazi acha kejeli mkuu!!!nenda gereji ndio magari yaliyoharibika yanatengenezwa
Soma vizuri maelezo yanajitosheleza. National Institute of Transport (NIT)Chuo gani huko Pare cha NTI ?
Toa maelezo vizuri.
Uko mkoa gani?Ungeanzisha garage yako ya Magari.Au ungeanza kwanza kuwatengezea wanaoharibikiwa barabarani,na kuwaachia namba zako za simu,mda mfupi utapata wateja wa kutosha.Vipi vitendea kazi unavyo?Hivyo ni muhimu sana.Si kwamba hakuna magari mabovu, swala ni uende kwenye garage ya nan? Kama huna kazi acha kejeli mkuu!!!
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.Wa ndugu nisaidien nina diploma ya Automobile engineering nimeipata pare chuo cha usafirishaji (NIT). 0782890195