Nyamongo kwao
Member
- Jan 1, 2013
- 48
- 6
Nipo tarime mara na hii ndiyo fani yangu nisaidieni nipate lukuma.
Mkuu udereva?mabaamedi
wanawezwa tafutwa kwa ajili ya kazi ila c madereva.tembelea
dar,moro.iringa na mikoa mingine.madereva wamejaa kwenye vijiwe na
mageti ya wenye makampuni ya usafirishaji.mi binafsi naona bora
kulima.vp mashamba huko hamna?tulime tu