natafuta kazi ya udereva

natafuta kazi ya udereva

Yumbayumba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2012
Posts
1,240
Reaction score
850
natafuta kazi ya udereva, umri miaka 25 nina leseni, elimu kidato cha nne pia nilipitia jkt naweza kumwendesha mtu hata kuwa mlinzi wake ikibidi
 
natafuta kazi ya udereva, umri miaka 25 nina leseni, elimu kidato cha nne pia nilipitia jkt naweza kumwendesha mtu hata kuwa mlinzi wake ikibidi

Sawa kamanda, lakin mbona uko uraiani na wakati bado kijana..Au Umestaafu?
 
kazi ipo hapa Njombe kuna mzee ana magari hayana dereva kama manne hivi scania..tatizoulipaji na ukikosea anachapa na mboko
 
Kaka, Reputed Mine hawajapata madereva wa kutosha. Jana nilikua kwenye usahili
 
aiseeeeeeeeeee babayangu unaweza kuendesha pantoni lile la mv magogoni kama una weza ni pm kazi ipo
 
Mkuu unaweza kuendesha FIAT 682 N 3, mkasi juu mkasi chini?
 
kuna kazi ya kuendesha lorry pulling tanker tunakwenda DRC ya lubumbashi,uwe mwaminifu unayedhaminika,uzoefu na boader miaka mitano,difenci driving cert ya BP kama unayo ni sifa ya ziada PM
 
natafuta kazi ya udereva, umri miaka 25 nina leseni, elimu kidato cha nne pia nilipitia jkt naweza kumwendesha mtu hata kuwa mlinzi wake ikibidi

Fuatilia pia utumishi wengi wanatemwa kwani hawana vyeti vya form IV, Reputed mine pia
 
Mwananyamala, komakoma, De Magz Plaza Hotel. Mwisho wa kutuma maombi ni 14/01/2013
 
natafuta kazi ya udereva, umri miaka 25 nina leseni, elimu kidato cha nne pia nilipitia jkt naweza kumwendesha mtu hata kuwa mlinzi wake ikibidi

Una leseni class gani, ya mwaka gani, upo tayari kufanya kazi katika mikoa ipi ya Tanzania?
 
Una leseni class gani, ya mwaka gani, upo tayari kufanya kazi katika mikoa ipi ya Tanzania?

Mkuu nina ndugu yangu pia anatafuta kaz ya udereva.elimu yake ni form 4.Ana lesen class D na E .Ana uzoefu wa miaka 3 katika fani hii na yupo tayar kufanya kazi mkoa wowote.Kwa mawasiliano zaidi mchek kwa namba0716999955.Asante
 
Nahitaji msaada wako nko tayari kufanya kazi popote nina leseni c1 c2 c3 d c nina cheti cha nit uzoefu 8yrs.0655156777!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom