Natafuta kazi ya udereva

Apr 3, 2021
5
45
Habar ndugu . Mi ni kijana mwenye miaka 26 natafutaa kazi ya udereva kwa mda mref cpati naomben msaada wenu viongoz na maboss pale mtakapo tafuta dereva na nimehitimu chuo cha uderevaa veta na cheti pamoja na leseni kamili naomben msaada wenu . contact 0688927824. 0620197639
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom