Jamani wana JF natumai hamjambo,
Mimi mzima kabisa, namshukuru Mungu kwa pumzi na uhai.
Mimi kijana wenu natafuta kazi, mimi ni dereva, nilikuwa nikitumikia kampuni ya kitalii sasa baada ya kuingia corona na kibarua kikaota nyasi Kama mnavyo jua.
Nisiseme mengi, ila naombeni mwenye nafasi au network ya kazi naombeni mnisaidie, niweze kulisha familia.

kaka nipo mbezi beach
mi nina madaraja yote ya kuendeshea gari kasoro C. vp kuna nafas?Weka madaraja ya leseni yako tuyaone.
Daah! Utapata changamoto sana kupata gari kama huna cheti... Tafuta hata laki tano ufungue kibanda cha Mpesa huku una set channels.mi nina madaraja yote ya kuendeshea gari kasoro C. vp kuna nafas?
lile tangazo la ATCL linahtaji chet cha NIT ndo mana sija apply kule.
sawa sawaDaah! Utapata changamoto sana kupata gari kama huna cheti... Tafuta hata laki tano ufungue kibanda cha Mpesa huku una set channels.
mi nina madaraja yote ya kuendeshea gari kasoro C. vp kuna nafas?
lile tangazo la ATCL linahtaji chet cha NIT ndo mana sija apply kule.