Natafuta kazi ya udereva

Paulo J Mwamtekele

New Member
Jan 21, 2020
3
2
Natafuta nafasi ya udereva ndugu zangu ninauzoefu wa miaka kumi na mbili(12) katika kazi hii leseni yangu ina madaraja A.B.C.C1C2.C3.E.F.G. Nimesomae mafunzo ya udereva katika chuo cha taifa cha NIT.

Naombeni msaada kama kunamtu anakampuni au kama kuna mtu anajua kama kunasehemu kuna hitajika madereva.0689517393.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hizi nafasi za udereva kama hujaziona
Screenshot_20200315-152831.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naitwa PAUL JAMES MWAMTEKE
Natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa (maroli) nimesomea mafunzo yaudereva katika chuo cha usafirishaji cha taifa NIT. Ninauzoefu wa miaka 10. Pia ninauzoefu wakuendesha magari aina zote yaani Magari makubwa na madogo.

Leseni yangu inamadaraja kama ituatavyo.A.B.C.C1.C2.C3.D.E.F.G.
Nawaomba watanzania wengangu popote pale walipo kama kuna mtu anajua kua kunasehemu wanahitaji madereva basi anisaidie kunielekeza ili niende kuwwza kuomba nafasi hiyo.0689517393/0747474369/0653405923
1584290175695.jpeg
IMG_20200315_193429.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naitwa PAUL JAMES MWAMTEKE
Natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa (maroli) nimesomea mafunzo yaudereva katika chuo cha usafirishaji cha taifa NIT. Ninauzoefu wa miaka 10. Pia ninauzoefu wakuendesha magari aina zote yaani Magari makubwa na madogo.Leseni yangu inamadaraja kama ituatavyo.A.B.C.C1.C2.C3.D.E.F.G.
Nawaomba watanzania wengangu popote pale walipo kama kuna mtu anajua kua kunasehemu wanahitaji madereva basi anisaidie kunielekeza ili niende kuwwza kuomba nafasi hiyo.0689517393/0747474369/0653405923View attachment 1389229View attachment 1389231

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kulikuwa hakuna haja ya kuweka picha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta nafasi ya udereva ndugu zangu ninauzoefu wa miaka kumi na mbili(12) katika kazi hii leseni yangu ina madaraja A.B.C.C1C2.C3.E.F.G. Nimesomae mafunzo ya udereva katika chuo cha taifa cha NIT. Naombeni msaada kama kunamtu anakampuni au kama kuna mtu anajua kama kunasehemu kuna hitajika madereva.0689517393.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kampuni inaitwa Dolphin ipo mwanza,cheki hiyo,vilevile kuna haya makampuni yanayohudumia minara ya simu,
Pivotech,Newl,Camusat(mbeya),cheki na huko.
Ila usipende kuweka vivuri vya dokomenti zako mtandaoni,maelezo kidogo yanatosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta nafasi ya udereva ndugu zangu ninauzoefu wa miaka kumi na mbili(12) katika kazi hii leseni yangu ina madaraja A.B.C.C1C2.C3.E.F.G. Nimesomae mafunzo ya udereva katika chuo cha taifa cha NIT. Naombeni msaada kama kunamtu anakampuni au kama kuna mtu anajua kama kunasehemu kuna hitajika madereva.0689517393.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Mkuu una madaraja ya leseni mengi balaa.
Hapo TRA unawaachia laki saba kila uki "renew" leseni yako.
All the best mkuu.
 
🚨 *GOOD NEWS:- KAMPUNI YA YAPI MERKEZI INAYOJENGA RELI YA MWENDOKASI DAR TO MOROGORO IMETANGAZA NAFASI 1017 ZA AJIRA*👉🏾👉🏾 1017 Employment Positions at Yapı Merkezi Construction | Nafasi za ajira kwenye Mradi wa ujenzi wa reli ya Mwendokasi
◾ *Wanahitajika Wafuatao*
▪Tyremen
▪Trailer Drivers
▪Dump-truck Drivers
▪Logistics Officers
▪Laboratory Technicians
▪Medical Doctors
▪Truck Drivers
▪Technicians
▪Auto Electricians
▪Generator Technicians
▪Road Roller Operators
▪Grader Operators
Paramedic
▪Civil Engineers
▪Exavetor Operaters
▪Diesel Engine Mechanics and Maintainers
👉🏾Na Nyinginezo nyingi soma 👉🏾👉🏾1017 Employment Positions at Yapı Merkezi Construction | Nafasi za ajira kwenye Mradi wa ujenzi wa reli ya Mwendokasi
✍🏾 *MUHIMU YA KUZINGATIA*

👉🏾Tuma wasifu wako wa kazi pekee(CV) wenye Nafasi ya kazi unayoomba Namba ya simu ya Muombaji wa kaziAnwani ya Makazi ya Muombaji Kiwango Cha Elimu na MAJINA 2 ya Wadhamini
👉🏾Usiambanishe Barua Nyingine Wala Vyeti

❇ *Bofya hapa Kusoma Maelezo zaidi na Jinsi ya Kutuma maombi*👉🏾👉🏾1017 Employment Positions at Yapı Merkezi Construction | Nafasi za ajira kwenye Mradi wa ujenzi wa reli ya Mwendokasi

♻ *Kwa nafasi Nyinginezo 1734 Mpya za ajira Bofya hapa*👉🏾 Apply New Jobs From Different Institutions and Companies for 2020

🙏🏽🙏🏽🙏🏽 *Usiwe Mchoyo Washirikishe na Makundi Mengine na Rafiki Zako*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom