Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

Usikariri aiseee hyo C yenu kavu huyu anaenda NIT pale analipa laki 2 wanampa ndan ya wik 2 anapga kaz mimi niko kwnye lori lakin hzo basi nimepga nikaona hazina maslahi

Mwambie aende chap chap akaitafute ni ya muhimu mno kwa dereva.Dereva usipokuwa na hiyo unahesabika kama dereva wa kuendesha magari ya kutoka chumbani kuelekea sebuleni na kupaki kwenye mageti
 
Mwambie aende chap chap akaitafute ni ya muhimu mno kwa dereva.Dereva usipokuwa na hiyo unahesabika kama dereva wa kuendesha magari ya kutoka chumbani kuelekea sebuleni na kupaki kwenye geti

Tunaendesha haya magari mwaka wa 8 na tuna class E tu ndo mana nakuambia usikariri afu udere wako huu wa kuishia chalinze ndo tatzo sisi tumefanya kaz nchi za kusin mwa africa hzo na class E na kuna road dume na road za kufa mtu mikeka highway za kufa mtu na bado hatuna hyo C yenu ya mpinga acha kukariri...!!
 
Leseni ya CLass E huruhusiwi kabisa kuendesha gari za abiria.Uendeshaji wa magari ya abiria ni tofauti na malori yako ya kubeba ng`ombe au makontainer.Ukibeba ng`ombe au kontaina breki waweza kanyaga vyovyote utakavyo.Sababu ng`ombe au kontaina haliumwi presha wala nini ukikanyaga breki ghafla ukiwa mwendo mkali.Bus la abiria ukikanyaga breki hovyo mtu presha ikampanda waweza swekwa rumande .Ndio maana dereva mbeba watu anatakiwa awe na class C kuaminiwa.Hayo malori ya mchanga waweza endeshea hata leseni CLASS F hewa ukitaka.Hiyo class E yako huwezi jiita dereva proffesional kwa leseni kama hiyo.
 
Leseni ya CLass E huruhusiwi kabisa kuendesha gari za abiria.Uendeshaji wa magari ya abiria ni tofauti na malori yako ya kubeba ng`ombe au makontainer.Ukibeba ng`ombe au kontaina breki wawezxa kanyaga vyovyote utakavyo.Sababu ng`ombe au kontaina haliumwi presha wala nini ukikanyaga breki ghafla ukiwa mwendo mkali.Bus la abiria ukikanyaga breki hovyo mtu presha ikampanda waweza swekwa rumande .Ndio maana dereva mbeba watu anatakiwa awe na class C kuaminiwa.Hayo malori ya mchanga waweza endeshea hata leseni CLASS F hewa ukitaka.Hiyo class E yako huwezi jiita dereva proffesional kwa leseni kama hiyo.[/
Gar ni gar tu hzo basi za abiria hao wnaaoendesha wote wametoka kwnye lori pale ubungo wale masuka wote wametoka huku ndo mana nakuambia nimeendesha gar nchi zote za SADC/COMESA nimeendesha kila aina ya gari kasoro Sport car Huaniambii kitu nina Leseni ya Kitanzania hyo ya Class E sasa unadhan hzo lori za ngombe au mchanga unarudi kati kiboya haya mambo lazma ukae class kwanza usome mechanism ya gari na engine na system nzima ya gar ndo upewe shida udere wenu wa Kitanzania unapakatwa na mjomba ndo mmejifunza.
 
Tunaendesha haya magari mwaka wa 8 na tuna class E tu

Katafute kazi na hiyo Class E yako ya kuendesha basi la abiria uone nani atakupa kazi HATA UMWAMBIE UNA uzoefu wa miaka 100 ya udereva.Au force ENDESHA basi ya abiria halafu traffic akikudaka mwonyeshe hiyo Leseni yako ya CLASS E uone mwoto utakaokuwakia.
 
Sihitaji kuendesha mabasi tatzo unafosi niendeshe basi sijui wanalipwa milion 12 wakat hapa nina lori maisha yanaenda chuma kali pesa mlima maisha mdogo mdogo na presha natoa kiroho safi
 
Katafute kazi na hiyo Class E yako ya kuendesha basi la abiria uone nani atakupa kazi HATA UMWAMBIE UNA uzoefu wa miaka 100 ya udereva.Au force ENDESHA basi ya abiria halafu traffic akikudaka mwonyeshe hiyo Leseni yako ya CLASS E uone mwoto utakaokuwakia.

Unaonekana we n mkata ticket ubungo pale mana ndo type zenu et dere proffessional kwan hawa wanaoendesha haya magari mengine mbona wanaenda na wanarudi na maisha yanaenda hayo mabasi et posho elf 20 sijui 40 kwa siku hyo kazi au utumwa presha juu kwa bosi traffic na kero kibao ...
 
Wewe ni akina SIZITAKI MBICHI HIZI

8605029_orig.jpg

Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho wake akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.

“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi
 
Usikariri aiseee hyo C yenu kavu huyu anaenda NIT pale analipa laki 2 wanampa ndan ya wik 2 anapga kaz mimi niko kwnye lori lakin hzo basi nimepga nikaona hazina maslahi
Tatizo mtu analaimu ajui matumizi ya reseni saaa ata kama unamwambia saqa na kumpiga konzi kinyago anatakiwa aangalie natumizi ya reseni
 
Wewe ni akina SIZITAKI MBICHI HIZI

8605029_orig.jpg

Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho wake akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.

“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi
Sizani kama tunaerewana humu
 
Tatizo mtu analaimu ajui matumizi ya reseni saaa ata kama unamwambia saqa na kumpiga konzi kinyago anatakiwa aangalie natumizi ya reseni

Huyu tatzo ashaona ukiwa na class G ya mitambo anaona n taka taka sasa anataka C akiamini Ndo Unajua hata kuendesha ndege wabongo bana shida sana kwendesha basi anaona ndo la maana watu wanaendesha interlink double trailer na wanaitwa n proffessional drivers...shida sana
 
Wakuu jaribuni kuongea mambo mliyo na hakika nayo kuhusu class 1 C
 
METL leo ametangaza nafasi 30 za madereva hebu Fanya mahusiano na ofisi ya uajili ujaribu zali lako la mentali.
 
Class 1C unaendesha gari la abiria Lenye ujazo wa watu 30. Yaani kama coaster vile, hii ni kwa mujibu wa sheria za barabarani tanzania.
 
Ukiangalia leseni ya huyo mkuu hapo juu daraja la 1 C lipo.
 
Mwambie aende chap chap akaitafute ni ya muhimu mno kwa dereva.Dereva usipokuwa na hiyo unahesabika kama dereva wa kuendesha magari ya kutoka chumbani kuelekea sebuleni na kupaki kwenye mageti
kiongizi si C kavu pekee ndio yakuendeshea gari za abiria,
C3 hii unaendesha gari ya abiria 1 hadi wa4.
C2 hii unaendesha gar ya abiria m1 hadi 15.
C1 hii unaendeshea gari ys abiria m1 hadi 30.
C kavu hii ni abiria m1 had 75 na ikiwezekana hata zaid ya hapo
Hizo hawezi endesha mabasi ya abiria.Lazima atafute C PLAIN
 
Mi mwenyewe nataka kazi ya udereva nina lesen yenye madaraja manne A B. E D nna chet cha udereva na ufundi na certficate ya GTA no tangu ni 0717111140
 
Brother kama uko tayali jana kulikuwa na tsngazo ktkt kampuni ya mohmed enter ples wanatakiwa madeleva jalibu pale kaka mungu aneweza kuku fanyia wepesi inshallah
 
Back
Top Bottom