Ninao uzoefu wa mda mlefu. na udereva wangu pia nilichukua mafunzo katika chuo cha veta. pia nimewai fanya kazi sehem kama 5 yani kampuni pia ni mwenyeji wa dar na nina uzoefu zaid ya miaka 10...Namba zangu 0673239061/ 0621839904.
Msaidie address au office apeleke maombi yakeUNICEF wametangaza nafasi za kazi za Udereva wa sifa zako izi izi jaribu kuomba unaweza fanikiwa
Andaa CV ulete
Mwelekeze alete wapAndaa CV ulete
Nilete wapi?nisaidie adres ya kufika hukoAlete wapi sasa bidada...?
UNICEF wametangaza nafasi za kazi za Udereva wa sifa zako izi izi jaribu kuomba unaweza fanikiwa
Tatizo la huyu dreva ni kama ifuatavyo
1.Hajaeleza kama kamaliza kidato cha nne wanataka mtu awe amemaliza walau form four
2.Hajaeleza kama ana cheti cha ufundi magari toka VETA waajiri wengi hupenda kuajiri mtu ambaye ni dereva na ana ccheti cha ufundi magari toka VETA
3.Leseni yake naiona haijajitosheleza.Ni ya kuendesha magari private sio ya abiria.Dereva aliyekamilika ni yule mwenye leseni ya CLASS C ambayo inamruhusu kuendesha hadi mabasi ya abiria .

Inategemea kampuni au ofisi yaweza kuwa na mabasi ya wafanyakazi pia.Wakitaka kuajiri watataka mtu anayeweza kuendesha magari yote.Soko kubwa kwa madreva ni uwezo wa kuendesha magari yote sio yale ya private tu.!!Hii namba 3 naona haina akili kabisa kwani lazima wotw tuendeshe mabasi hoja yako haiko kamili...!!!
hujaziona hizo c1 c2 c3 huyo anaendesha had gar za serikali yani vp's kupata c kavu sio kazi ndogo leseni yake ni nzur sio kwa private tu
labda elimu yake tu
Inategemea kampuni au ofisi yaweza kuwa na mabasi ya wafanyakazi pia.Wakitaka kuajiri watataka mtu anayeweza kuendesha magari yote.Soko kubwa kwa madreva ni uwezo wa kuendesha magari yote sio yale ya private tu.!!
Hizo hawezi endesha mabasi ya abiria.Lazima atafute C PLAIN