Natafuta kazi ya udereva wa muda!

tanzania kwetu

New Member
Apr 17, 2012
3
0
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nitakuwa likizo kwa muda wa miezi miwili kama kuna kazi itatokea inahitaji dereva niko tayari kufanya kazi kwa makubaliano.
Ni mwanachuo chuo kikuu cha tumaini,college ya Lushoto,nina driving licence yenye madaraja yafuatayo A,D na E lakini najua pia kuandika na kuzungumza kingereza kwa kazi itakayotaka language proficiency.

wasiliana nami hapa:
wiseman89@live.com
Nitakujibu haraka sana.
 
Ungeweza kuja hapa A town nenda moja kwa moja pale A to Z kwenye ile kiwanda cha mafisadi ukapewe lori aina ya Leyland Daf CTnew model pulling naoina inawaajiria madereva kweli kweli!
 
Ungeweza kuja hapa A town nenda moja kwa moja pale A to Z kwenye ile kiwanda cha mafisadi ukapewe lori aina ya Leyland Daf CTnew model pulling naoina inawaajiria madereva kweli kweli!
Ebwana poa ntajaribu kwenda,ndo nililojifunzia kaka!
 
Ungeweza kuja hapa A town nenda moja kwa moja pale A to Z kwenye ile kiwanda cha mafisadi ukapewe lori aina ya Leyland Daf CTnew model pulling naoina inawaajiria madereva kweli kweli!

yale malory ya A-Z hatayaweza yale.
wana malori mapya ya kisasa sana pia. magumu na yanahitaji weledi mzuri katika udereva.
madereva kibao wanayashindwa.
 
Leseni klasi
A=bodaboda
D=home car,tafuta familia uwe unawapela watoto shule, hasa familia za kihind, waswahil wanawapeleka wenyewe.
E=tractor, nenda kwenye mashamba ya miwa, mahindi
 
Leseni klasi
A=bodaboda
D=home car,tafuta familia uwe unawapela watoto shule, hasa familia za kihind, waswahil wanawapeleka wenyewe.
E=tractor, nenda kwenye mashamba ya miwa, mahindi

kama E ni tractor maroli yatakua na daraja lipi la lesen wewe sio dereva acha kukurupuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom