Natafuta kazi ya udereva wa Malori

Natafuta kazi ya udereva wa Malori

haina shida, tuombe mungu atupatie kwanza iyo kazi
 
mbona hujataja uzoefu wako na leseni yako ni mtu wa wapi unaumri gani? sasa ww gafla namba bila sifa ok rekebisha mkuu
 
Umewahi kufanya safari zipi? magari gani? unataka ulipwe vipi? je una familia? dhamana yako ya kazi? n.k

Picha ya leseni yako, na uthibitisho wa sehemu ya mwisho kufanya kazi
 
Umewahi kufanya safari zipi? magari gani? unataka ulipwe vipi? je una familia? dhamana yako ya kazi? n.k

Picha ya leseni yako, na uthibitisho wa sehemu ya mwisho kufanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom