Natafuta Kazi ya Udereva wa Hiace

Natafuta Kazi ya Udereva wa Hiace

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Bosi mwenye kumiliki hiace tuongee biashara ya daladala hesabu yake kwa siku shs 50,000/= hata kama haijasajiliwa mfano kule kule gongolamboto to chanika trips kama yupo serious anipigie 0714064767
 
Natafuta wa aina yako, lakini nataka iwe 55,000/= unasemaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom